Loading the player...


INFO:
Endapo utatumia seedling trays kupanda mbegu utatumia kiasi cha gram 25 tu za mbegu. Ila ukitumia kitalu cha kuwatoka chini utatumia zaidi ya gram 35 za mbegu ya nyanya. karibu kwenye Whatsapp group letu tujifunze pamoja,tuma neno NIUNGE kupitia Whatsapp number 0767337029.